Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

@FCSTZ

Followers5.6K
Following799

Foundation for Civil Society builds Tanzania Civil Society Orgs (CSOs) through providing grantmaking and capacity building services. RTs are not endorsement

Dar es Salaam, Tanzania
Joined on April 29, 2010

Statistics

We looked inside some of the tweets by @FCSTZ and here's what we found interesting.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
10 hours
Average replies
1
Average retweets
8
Average likes
19
Tweets with photos
95 / 100
Tweets with videos
0 / 100
Tweets with links
0 / 100

Recommended

Check out our new cool site: http://www.tumgir.com

Last Seen Profiles

@cUz87RcVeayl2XH@cUz87RcVeayl2XH
@izamarmtz15@izamarmtz15
@ArgyaShilla@ArgyaShilla
@Dr_Moxmo@Dr_Moxmo
@Vijfduh@Vijfduh
@SkylarCaputo@SkylarCaputo
@angzhengg@angzhengg
@UranesFilms@UranesFilms
@JamesKello@JamesKello
@HuntingtonAimee@HuntingtonAimee
@BLXXDBATHSC@BLXXDBATHSC
@XXROBERTA_GEMMA@XXROBERTA_GEMMA
@lexieloltbh@lexieloltbh
@RnchodDasChancd@RnchodDasChancd
@doll12130706@doll12130706
@MKUWAR1@MKUWAR1
#BreakingNews!
Social Accountability Programme3 (SAP3) launched
@FCSTZ, @Twaweza_NiSisi and @policy_F to receive Tzs 18bil boost from Switzerland for improvement of accountability in #Tanzania. This is a 4yr programme
#CivilSocietyTanzania
4

#BreakingNews! Social Accountability Programme3 (SAP3) launched @FCSTZ, @Twaweza_NiSisi and @policy_F to receive Tzs 18bil boost from Switzerland for improvement of accountability in #Tanzania. This is a 4yr programme #CivilSocietyTanzania

Uswisi-Tanzania ni marafiki muda mrefu sana. Uswisi imechangia miradi ya maendeleo hapa Tanzania tangu miaka ya 1960. Si programu ya SAP3 tu, inatoa karibu Sh bilioni 51 kila mwaka kwa ajili ya afya/ajira/mapato/utawala bora

#AZAKITanzania
2

Uswisi-Tanzania ni marafiki muda mrefu sana. Uswisi imechangia miradi ya maendeleo hapa Tanzania tangu miaka ya 1960. Si programu ya SAP3 tu, inatoa karibu Sh bilioni 51 kila mwaka kwa ajili ya afya/ajira/mapato/utawala bora #AZAKITanzania

Ubalozi wa Uswisi #Tanzania unashirikiana @FCSTZ, @policy_F na @Twaweza_NiSisi katika jitihada mbalimbali kuboresha maisha ya wananchi. Taasisi hizi zilihusika michakato ya kuanzisha na kusimamia Sera za Maendeleo

#AZAKITanzania
2

Ubalozi wa Uswisi #Tanzania unashirikiana @FCSTZ, @policy_F na @Twaweza_NiSisi katika jitihada mbalimbali kuboresha maisha ya wananchi. Taasisi hizi zilihusika michakato ya kuanzisha na kusimamia Sera za Maendeleo #AZAKITanzania

"Uswisi inaamini kuwa AZAKI ni wadau wakuu katika juhudi za #Tanzania kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025"-Balozi Florence T.Mattli
@policy_F @Twaweza_NiSisi @FCSTZ @THRDCOALITION @humanrightstz @TgnpMtandao @LSFTanzania @TAMWA_
#AZAKITanzania
2

"Uswisi inaamini kuwa AZAKI ni wadau wakuu katika juhudi za #Tanzania kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025"-Balozi Florence T.Mattli @policy_F @Twaweza_NiSisi @FCSTZ @THRDCOALITION @humanrightstz @TgnpMtandao @LSFTanzania @TAMWA_ #AZAKITanzania

"Hii programu ya SAP3 ni muhimu kwenye Ushirikiano wetu na #Tanzania kwa kipindi 2015-2020; na inalenga kupunguza umaskini kwa kujenga jamii yenye Usawa na Shirikishi" - Mh Florence Tinguely Mattli, Balozi wa Uswisi Tanzania
#AZAKITanzania

"Hii programu ya SAP3 ni muhimu kwenye Ushirikiano wetu na #Tanzania kwa kipindi 2015-2020; na inalenga kupunguza umaskini kwa kujenga jamii yenye Usawa na Shirikishi" - Mh Florence Tinguely Mattli, Balozi wa Uswisi Tanzania #AZAKITanzania

#BREAKING!
Serikali ya Uswisi kupitia Shirika lake la Maendeleo na Ushirikiano-SDC watoa ruzuku ya Sh bil18 kwa Programu ya Uwajibikaji kwa Jamii-SAP3. Taasisi za @FCSTZ, @Twaweza_NiSisi na @policy_F zinatekeleza programu hii ya miaka 4
#AZAKITanzania
4

#BREAKING! Serikali ya Uswisi kupitia Shirika lake la Maendeleo na Ushirikiano-SDC watoa ruzuku ya Sh bil18 kwa Programu ya Uwajibikaji kwa Jamii-SAP3. Taasisi za @FCSTZ, @Twaweza_NiSisi na @policy_F zinatekeleza programu hii ya miaka 4 #AZAKITanzania

"This is just the beginning of the journey. There is still a lot to be done and not only in terms of access to justice but also in terms of protection and economic empowerment of survivors of GBV" - Marion Caussanel, @FranceTanzania
#CivilSocietyTanzania
2

"This is just the beginning of the journey. There is still a lot to be done and not only in terms of access to justice but also in terms of protection and economic empowerment of survivors of GBV" - Marion Caussanel, @FranceTanzania #CivilSocietyTanzania

PISSCA & DEFI Programmes:
@MsichanaUwezo presenting results of their project which focused on protection of women, girls and children. They worked with the gov, the Police @tanpol through their Gender Desk and other stakeholders
#CivilSocietyTanzania
2

PISSCA & DEFI Programmes: @MsichanaUwezo presenting results of their project which focused on protection of women, girls and children. They worked with the gov, the Police @tanpol through their Gender Desk and other stakeholders #CivilSocietyTanzania

Asasi za kiraia (AZAKI) zilizo chini ya programu za Ubalozi wa @FranceTanzania za PISSCA & DEFI ni 12 kwa sasa. Hizi hapa: -IWAPOA -@DignityKwanza -@MasangaAtfgm -@ngonedo -NGSEN -GLT -TEG -UWZ -@TawlaTZ -@TAMWA_ -@MsichanaUwezo -@cdftz #AZAKITanzania

0
3
7
Ushirikiano @FranceTanzania kupitia Ubalozi wao na @FCSTZ:
-Ubalozi unafadhili AZAKI kupitia PISSCA & DEFI
-FCS inazijengea uwezo AZAKI kwa mafunzo juu ya usimamizi wa ruzuku & utekelezaji miradi yao @TAMWA_ @TawlaTZ @MsichanaUwezo @cdftz
#AZAKITanzania

Ushirikiano @FranceTanzania kupitia Ubalozi wao na @FCSTZ: -Ubalozi unafadhili AZAKI kupitia PISSCA & DEFI -FCS inazijengea uwezo AZAKI kwa mafunzo juu ya usimamizi wa ruzuku & utekelezaji miradi yao @TAMWA_ @TawlaTZ @MsichanaUwezo @cdftz #AZAKITanzania

Mwaka 2018: @FranceTanzania kupitia Ubalozi wake hapa #Tanzania zaingia makubaliano kuwezesha AZAKI nchini
Leo: Kupitia programu za PISSCA na DEFI za Ubalozi huo, AZAKI 12 zinatekeleza miradi kadhaa ya maendeleo ya jamii katika mikoa mbalimbali
#AZAKITanzania
2

Mwaka 2018: @FranceTanzania kupitia Ubalozi wake hapa #Tanzania zaingia makubaliano kuwezesha AZAKI nchini Leo: Kupitia programu za PISSCA na DEFI za Ubalozi huo, AZAKI 12 zinatekeleza miradi kadhaa ya maendeleo ya jamii katika mikoa mbalimbali #AZAKITanzania

2018: @FranceTanzania Ambassador HE Frederic Clavier came to @FCSTZ to launch PISSCA & DEFI programmes that support innovative civil society orgs
2019: Tomorrow, one year on, we are taking stock of projects under these programmes
#CivilSocietyTanzania
2

2018: @FranceTanzania Ambassador HE Frederic Clavier came to @FCSTZ to launch PISSCA & DEFI programmes that support innovative civil society orgs 2019: Tomorrow, one year on, we are taking stock of projects under these programmes #CivilSocietyTanzania

#SustainabilityTZ  #Session1: The SDGs - A Blueprint for Tanzania’s future, will be Moderated by @AbellaBateyunga @Tanzania @tanzania_bora , panelists @simbeyeg @tpsftz , @UKllstig @SwedeninTZ , #Edna Chilimo – @FCSTZ  @Reynaldmaeda @UNATanzania 
Dr. @MmariDonald @REPOA #VNR19TZ

#SustainabilityTZ #Session1: The SDGs - A Blueprint for Tanzania’s future, will be Moderated by @AbellaBateyunga @Tanzania @tanzania_bora , panelists @simbeyeg @tpsftz , @UKllstig @SwedeninTZ , #Edna Chilimo – @FCSTZ @Reynaldmaeda @UNATanzania Dr. @MmariDonald @REPOA #VNR19TZ

Habari wadau,
Hii muhimu sana. Sheria zote zinazosimamia shughuli za asasi za kiraia (AZAKI) na sekta yao hapa #Tanzania hizi hapa. Pakua kabrasha kwenye link hapo chini
http://thefoundation.or.tz/wp-content/uploads/2018/10/COMPENDIUM-OF-LAWS-GOVERNING-CSOs-IN-TANZANIA.pdf … 

#AZAKITanzania | #CivilSocietyTanzania

Habari wadau, Hii muhimu sana. Sheria zote zinazosimamia shughuli za asasi za kiraia (AZAKI) na sekta yao hapa #Tanzania hizi hapa. Pakua kabrasha kwenye link hapo chini http://thefoundation.or.tz/wp-content/uploads/2018/10/COMPENDIUM-OF-LAWS-GOVERNING-CSOs-IN-TANZANIA.pdf … #AZAKITanzania | #CivilSocietyTanzania

Hi there,
Do you know the LAWS that govern the operations of civil society orgs (CSOs) in #Tanzania? Click the link below and download the guideline from our website
http://thefoundation.or.tz/wp-content/uploads/2018/10/COMPENDIUM-OF-LAWS-GOVERNING-CSOs-IN-TANZANIA.pdf … 

#AZAKITanzania | #CivilSocietyTanzania

Hi there, Do you know the LAWS that govern the operations of civil society orgs (CSOs) in #Tanzania? Click the link below and download the guideline from our website http://thefoundation.or.tz/wp-content/uploads/2018/10/COMPENDIUM-OF-LAWS-GOVERNING-CSOs-IN-TANZANIA.pdf … #AZAKITanzania | #CivilSocietyTanzania

Elimisha mwanamke utaelimisha kaya. Wezesha mwanamke utainua jamii
2018: 30% ya miradi yote ya AZAKI fadhiliwa za @FCSTZ ilihusu moja kwa moja masuala ya haki/ustawi wa wanawake

2019 itakuaje? Jibu linakuja

#AZAKITanzania #CivilSocietyTanzania
3

Elimisha mwanamke utaelimisha kaya. Wezesha mwanamke utainua jamii 2018: 30% ya miradi yote ya AZAKI fadhiliwa za @FCSTZ ilihusu moja kwa moja masuala ya haki/ustawi wa wanawake 2019 itakuaje? Jibu linakuja #AZAKITanzania #CivilSocietyTanzania

Kikubwa wanachohitaji wanawake ni KUPEWA NAFASI YA USHIRIKI kwenye kila nyanja ya ustawi/maendeleo ya jamii. Vijana na wanawake ndani ya miradi ya AZAKI fadhiliwa za @FCSTZ wanapata fursa za mafunzo/utetezi wa haki zao ili waweze kujikwamua kiuchumi
4

Kikubwa wanachohitaji wanawake ni KUPEWA NAFASI YA USHIRIKI kwenye kila nyanja ya ustawi/maendeleo ya jamii. Vijana na wanawake ndani ya miradi ya AZAKI fadhiliwa za @FCSTZ wanapata fursa za mafunzo/utetezi wa haki zao ili waweze kujikwamua kiuchumi

TAKWIMU
Kama unahitaji chambuzi kadhaa linganifu na takwimu kuhusu wanawake na wanaume kwa sasa hapa #Tanzania, hutakiwi kukosa chapisho hili hapa!
@HakiElimu @WiLDAFTz, @SwedeninTZ, @Sida, NBS, MtakwimuMkuuZbar
#AzakiTanzania #CivilSocietyTanzania

TAKWIMU Kama unahitaji chambuzi kadhaa linganifu na takwimu kuhusu wanawake na wanaume kwa sasa hapa #Tanzania, hutakiwi kukosa chapisho hili hapa! @HakiElimu @WiLDAFTz, @SwedeninTZ, @Sida, NBS, MtakwimuMkuuZbar #AzakiTanzania #CivilSocietyTanzania

Huko Makao Makuu Dodoma NBS, Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar, @FCSTZ, @HakiElimu, @WiLDAFTz wamezindua chapisho muhimu kuhusu takwimu linganifu kati ya wanawake na wanaume nchini #Tanzania mwaka 2018, kupitia ufadhili wa SIDA @SwedeninTZ
#AzakiTanzania
3

Huko Makao Makuu Dodoma NBS, Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar, @FCSTZ, @HakiElimu, @WiLDAFTz wamezindua chapisho muhimu kuhusu takwimu linganifu kati ya wanawake na wanaume nchini #Tanzania mwaka 2018, kupitia ufadhili wa SIDA @SwedeninTZ #AzakiTanzania

Important
Has your org applied for @FCSTZ grant this year? Quick update - Screening exercise is still ongoing and some CSOs did not make through the preliminary stage. Check your org status here http://www.thefoundation.or.tz 

#CivilSocietyTanzania | #AzakiTanzania
3

Important Has your org applied for @FCSTZ grant this year? Quick update - Screening exercise is still ongoing and some CSOs did not make through the preliminary stage. Check your org status here http://www.thefoundation.or.tz  #CivilSocietyTanzania | #AzakiTanzania

Next Page