THRD-COALITION

THRD-COALITION

@THRDCOALITION

Followers2.1K
Following994

Ensuring maximum Security & Protection for all Human Rights Defenders (HRDs) in the United Republic of Tanzania (Tanzania Mainland and Zanzibar) since 2012.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined on March 08, 2012

Statistics

We looked inside some of the tweets by @THRDCOALITION and here's what we found interesting.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
2 days
Average replies
26
Average retweets
301
Average likes
798
Tweets with photos
67 / 100
Tweets with videos
10 / 100
Tweets with links
0 / 100

Recommended

Check out our new cool site: http://www.tumgir.com

Last Seen Profiles

@essikam@essikam
@alshqeefe@alshqeefe
@Eze_gb18@Eze_gb18
@KokoCreation@KokoCreation
@shou_POMS@shou_POMS
@spgbispak@spgbispak
@thebrookeshow@thebrookeshow
@like__expg@like__expg
@gunibadova@gunibadova
@OowFf@OowFf
@fengqingyundan9@fengqingyundan9
@MAYUGE2222@MAYUGE2222
@MOLIRIN_gallery@MOLIRIN_gallery
@hairy_love7@hairy_love7
@conceptartworld@conceptartworld
@monlygls@monlygls
THRDC @THRDCOALITION yaungana na AZAKi zingine kutoa TAMKO LA KULAANI VIKALI MAUAJI YA WATOTO 10 WASIOKUWA NA HATIA MKOANI NJOMBE

THRDC @THRDCOALITION yaungana na AZAKi zingine kutoa TAMKO LA KULAANI VIKALI MAUAJI YA WATOTO 10 WASIOKUWA NA HATIA MKOANI NJOMBE

TANZIA:
Mwandishi  Mkongwe  wa DW Charles Olengereza,  afariki dunia. 

Tutamkumbuka  kwa ushirikiano mkubwa na THRDC hasa katika kufuatilia maswala ya haki za Binadamu na migogoro ya ardhi Loliondo.

Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu.

TANZIA: Mwandishi Mkongwe wa DW Charles Olengereza, afariki dunia. Tutamkumbuka kwa ushirikiano mkubwa na THRDC hasa katika kufuatilia maswala ya haki za Binadamu na migogoro ya ardhi Loliondo. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu.

HUKUMU YA BOB CHACHA WANGWE YAAHIRISHWA

Kesi namba 370 ya mwaka 2018 ya Mtetezi Bob Chacha Wangwe iliyopangwa kutolewa maamuzi leo siku ya Ijumaa tarehe 22 Machi 2019, imeahirishwa hadi hapo Jumatano ya wiki ijayo tarehe 27 Machi 2019. 
#JusticeForBobWangwe

HUKUMU YA BOB CHACHA WANGWE YAAHIRISHWA Kesi namba 370 ya mwaka 2018 ya Mtetezi Bob Chacha Wangwe iliyopangwa kutolewa maamuzi leo siku ya Ijumaa tarehe 22 Machi 2019, imeahirishwa hadi hapo Jumatano ya wiki ijayo tarehe 27 Machi 2019. #JusticeForBobWangwe

The SAHRDN is disturbed at seemingly carefully orchestrated attacks against Human Rights Defenders Coalition  HRDC leaders by pro-government GONGOS the PACPWA and ICJF. This seems to mark the beginning of a sustained attack on HRDS ahead of elections in #Malawi #ProtectCivicSpace
4

The SAHRDN is disturbed at seemingly carefully orchestrated attacks against Human Rights Defenders Coalition HRDC leaders by pro-government GONGOS the PACPWA and ICJF. This seems to mark the beginning of a sustained attack on HRDS ahead of elections in #Malawi #ProtectCivicSpace

NEW ZEALAND: New Zealand yapiga marufuku bunduki za kivita! Waziri mkuu wa New Zealand Bi. Jacinda Ardern amepiga marufuku bunduki za kivita kama ile iliyotumika katika shambulizi la...

0
1
4
"Violence against women and children is caused by harmful cultural practices, poor parenting, poverty and bad life styles..."; Mrs. Naana Otoo-Oyortey - Executive Director at FORWARD UK

#endgbv

"Violence against women and children is caused by harmful cultural practices, poor parenting, poverty and bad life styles..."; Mrs. Naana Otoo-Oyortey - Executive Director at FORWARD UK #endgbv

“Asilimia 27 ya wasichana wenye umri chini ya miaka 19 wanakuwa tayari wameshazaa” Bwana Koshuma Mtengeti - Mkurugenzi wa Children’s Dignity Forum (CDF)

“Asilimia 27 ya wasichana wenye umri chini ya miaka 19 wanakuwa tayari wameshazaa” Bwana Koshuma Mtengeti - Mkurugenzi wa Children’s Dignity Forum (CDF)

Kimbunga kiitwacho Idai kilichozikumba nchi za Msumbiji, Zimbabwe na Malawi, inasemekana kimeacha madhara makubwa sana,yakiwemo vituo vya afya,shule na makazi ya watu. https://www.vaticannews.va/sw/world/news/2019-03/msumbiji-kimbunga-cha-idai-ni-maafa-makubwa-kwa-jengo-la-afya.html … #CycloneIdai #Idai

0
0
2
Mozambique, Malawi, Zimbabwe, #CycloneIdai has created "inland oceans running for mile after mile, with water above tree-level" says @WFP on the ground @UNOCHA @WHO. Emergency "bigger by the hour".

Mozambique, Malawi, Zimbabwe, #CycloneIdai has created "inland oceans running for mile after mile, with water above tree-level" says @WFP on the ground @UNOCHA @WHO. Emergency "bigger by the hour".

27
921
792

Seeking asylum is a human right. Seeking asylum is a human right. Seeking asylum is a human right. Seeking asylum is a human right. Seeking asylum is a human right. Seeking asylum is a human right. Seeking asylum is a human right. SEEKING ASYLUM IS A HUMAN RIGHT.

254
4K
12K
Jirani na ndugu zetu wa Msumbiji wanapita katika wakati mgumu wa maafa ya watu wanaokadiriwa kuzidi 1,000 kutokana na kimbunga. Tunasimama katika mshikamano na ndugu zetu. Mungu azilaze roho za marehemu peponi na awape faraja na nafuu wote walioathirika na janga hili.

Jirani na ndugu zetu wa Msumbiji wanapita katika wakati mgumu wa maafa ya watu wanaokadiriwa kuzidi 1,000 kutokana na kimbunga. Tunasimama katika mshikamano na ndugu zetu. Mungu azilaze roho za marehemu peponi na awape faraja na nafuu wote walioathirika na janga hili.

106
186
1K
"Tumejiunga na chama cha @ACTwazalendo kwa sababu tumeridhika na malengo yake,seriousnes yake na utendaji wao wa shughuli zao za kisiasa" ameongea @SeifSharifHamad muda mfupi baada ya kukabidhiwa kadi ya ACT na kiongozi @zittokabwe leo jijin DSM
@cuf

"Tumejiunga na chama cha @ACTwazalendo kwa sababu tumeridhika na malengo yake,seriousnes yake na utendaji wao wa shughuli zao za kisiasa" ameongea @SeifSharifHamad muda mfupi baada ya kukabidhiwa kadi ya ACT na kiongozi @zittokabwe leo jijin DSM @cuf

3
19
139

CSOs APPEAL STATEMENT TO THE GOVERNMENT OF TANZANIA ON MEANINGFUL ENGAGEMENT WITH THE AFRICAN COMMISSION ON HUMAN AND PEOPLE'S RIGHTS AND THE EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE Introduction We, human rights defenders... https://www.facebook.com/THRDCOALITION/posts/1196721107149625 …

0
5
12
#Racism is contrary to everything we stand for. The murderous Islamophobic and terrorist attack, just hours ago, on two mosques in #NewZealandis yet another terrible reminder that racism kills. — UN Human Rights Chief @mbachelet at #HRC40.

ℹ http://ow.ly/brqd30o3H0m  #FightRacism

#Racism is contrary to everything we stand for. The murderous Islamophobic and terrorist attack, just hours ago, on two mosques in #NewZealandis yet another terrible reminder that racism kills. — UN Human Rights Chief @mbachelet at #HRC40. ℹ http://ow.ly/brqd30o3H0m  #FightRacism

111
1K
2K
"Lugha ya kingereza inayotumika katika uandikaji wa sheria za nchi inafanya watanzania wengi kutokusoma na tukubali tu kuwa baadhi watanzania ni waoga wa kujifunza na kuongea" Dr. James Jesse @THRDCOALITION @OlengurumwaO  @WateteziTV

"Lugha ya kingereza inayotumika katika uandikaji wa sheria za nchi inafanya watanzania wengi kutokusoma na tukubali tu kuwa baadhi watanzania ni waoga wa kujifunza na kuongea" Dr. James Jesse @THRDCOALITION @OlengurumwaO @WateteziTV

FAO
9 days ago
Today is International School Meals Day! 🥣📚🍏

In Guatemala, around 2.5 million children are now eating more nutritious food at school and learning about it too! 

📽️ Watch to learn how 👇

#ISMD2019 #schoolmeals #ZeroHunger

Today is International School Meals Day! 🥣📚🍏 In Guatemala, around 2.5 million children are now eating more nutritious food at school and learning about it too! 📽️ Watch to learn how 👇 #ISMD2019 #schoolmeals #ZeroHunger

29
511
1K
NIGERIA:

Zaidi ya watoto 100 na wengine wengi wanahofiwa kukwama kwenye vifusi baada ya jengo linalotumiwa kama shule ya msingi kuporomoka katika mji wa kibiashara wa Lagos nchini Nigeria.

Mpaka sasa watoto tisa wameokolewa.

(DW Habari)

NIGERIA: Zaidi ya watoto 100 na wengine wengi wanahofiwa kukwama kwenye vifusi baada ya jengo linalotumiwa kama shule ya msingi kuporomoka katika mji wa kibiashara wa Lagos nchini Nigeria. Mpaka sasa watoto tisa wameokolewa. (DW Habari)

Tani 11 za Samaki zilizoingia kwa njia za panya kutoka China zateketezwa Tanzania

16
21
169
DW: 
Serikali ya Uganda imeendelea kuyakana madai ya serikali ya Rwanda kwamba inawapa hifadhi wakosoaji wa utawala wa rais Paul Kagame. Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa amesema mashauriano yanaendelea kuumaliza mzozo huo ambao umesababisha kufungwa kwa mipaka yao.

DW: Serikali ya Uganda imeendelea kuyakana madai ya serikali ya Rwanda kwamba inawapa hifadhi wakosoaji wa utawala wa rais Paul Kagame. Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa amesema mashauriano yanaendelea kuumaliza mzozo huo ambao umesababisha kufungwa kwa mipaka yao.

Abiria wote wafariki dunia #EthiopianAirlinecrash 
Kulikua na abiria 149 na wahudumu 8 wa ndege. Wote wameripotiwa kufariki dunia. 

Ndege hii imenunuliwa miezi minne iliyopita jijini Ethiopia, Addis Ababa.

Abiria wote wafariki dunia #EthiopianAirlinecrash Kulikua na abiria 149 na wahudumu 8 wa ndege. Wote wameripotiwa kufariki dunia. Ndege hii imenunuliwa miezi minne iliyopita jijini Ethiopia, Addis Ababa.

Kikao cha CIDO/ECOSOCC chapoteza washiriki wawili muhimu!
Washiriki wawili waliokua njiani kuelekea Nairobi kwa ajili ya kikao cha CIDO/ECOSOCC wapoteza maisha katika ajali ya ndege ya Ethiopia Airlines, ambao ni Prof Pius Adesanmi na Mr Karim Safi (mmoja wa waanzilishi wa ADYFE)

Kikao cha CIDO/ECOSOCC chapoteza washiriki wawili muhimu! Washiriki wawili waliokua njiani kuelekea Nairobi kwa ajili ya kikao cha CIDO/ECOSOCC wapoteza maisha katika ajali ya ndege ya Ethiopia Airlines, ambao ni Prof Pius Adesanmi na Mr Karim Safi (mmoja wa waanzilishi wa ADYFE)

Next Page