Cosmas Mkinga

Cosmas Mkinga

@coskiwaside

Followers298
Following1.1K

Dad,Future Husband,Opportunistic person,Financial Analyst, DJ,Entrepreneur. mainstream urban music analyst,Azam fc fan,🇹🇿 fan

TANZANIA
Joined on May 31, 2010

Hi there, do you want more Twitter Likes and Followers?

Statistics

We looked inside some of the tweets by @coskiwaside and here's what we found interesting.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
5 hours
Average replies
61
Average retweets
534
Average likes
1853
Tweets with photos
45 / 100
Tweets with videos
15 / 100
Tweets with links
0 / 100
Ok,kwa hiyo interviews za kwenye media ni mpaka uwe maarufu na sio uwe na kitu cha kuonesha au kusema hata kama sio maarufu?Ndio maana mzunguko wa walio hojiwa kwenye Mkasi wa Salama utarudi kwenye Bartender na sasa hivi tuna Block 89.
#BangiZaKisirisiri

Ok,kwa hiyo interviews za kwenye media ni mpaka uwe maarufu na sio uwe na kitu cha kuonesha au kusema hata kama sio maarufu?Ndio maana mzunguko wa walio hojiwa kwenye Mkasi wa Salama utarudi kwenye Bartender na sasa hivi tuna Block 89. #BangiZaKisirisiri

10
6
136
“Kumekuwa na changamoto zinazohitaji kuangaliwa ambazo ni kuwepo kwa sheria kandamizi, ushiriki usioridhisha wa wananchi, kutokuwepo kwa uhuru wa habari ” Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete>>http://bit.ly/2VUxkOG 

11
68
308

On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate Y'r Excellency Narendra Modi on y'r re-election as Prime Minister of India.This indicates the confidence that y'r compatriots have in you. Be assured of our commitment to strengthen our bilateral co-operation

520
5K
27K

GOD FIRST.

7
14
292
You can run but you cant hide! These thugs broke into my office on Sunday Morning. I ma on your tail. Kindly retweet till we nab these idiots
4

You can run but you cant hide! These thugs broke into my office on Sunday Morning. I ma on your tail. Kindly retweet till we nab these idiots

94
3K
1K

Nimejipa muda nikaanza kupitia speech za Ruge Mutahaba youtube hasa kwenye fursa..jamaa alikuwa mbele kwa masaa kadhaa🙌✊ #RIPchamp

4
12
184

Nurbana.. such an evil lady! 😀

12
3
61

Quoted @ThabitSenior

Here's Barrick on the buyout offer https://twitter.com/ThabitSenior/status/1131091896049250304 …

Here's Barrick on the buyout offer https://twitter.com/ThabitSenior/status/1131091896049250304 …

Very interesting that Barrick's offer for Acacia minority share is $285 million. That's equivalent to one Dreamliner ($224.6M) and two Bombardier Q-400 ($62M). Imagine if state injected $286 to STAMICO!! Enough to buy Acacia shares. Priorities

Dar es Salaam ❤️ 
“Culture, beaches, shopping and food –has a little slice of adventure for you to enjoy”
#slidevisuals #photography #beauty #daressalaam #city #tanzania
4

Dar es Salaam ❤️ “Culture, beaches, shopping and food –has a little slice of adventure for you to enjoy” #slidevisuals #photography #beauty #daressalaam #city #tanzania

9
79
216
"Nimeahidi nitawapa wachezaji wote pikipiki aina ya Boxer, nimewaomba wawekeze kwenye pikipiki" - Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC @moodewji akitangaza zawadi kwa wachezaji wa timu baada ya kutetea ubingwa wa #LigiKuuTanzaniaBara

Footballer market value. (million pounds) Mbappe: 180 Neymar: 162 Messi: 144 Salah: 135 Kane: 135 Griezmann: 135 De Bruyne: 135 Hazard: 135 Dembele: 108 Sterling: 108 Kante: 90 Dybala: 90 Cristiano Ronaldo: 90 Coutinho: 90 Sane: 90 Alli: 90 Pogba: 81 Icardi: 81 (Transfer Markt)

203
2K
4K
💔💔Biwi la simanzi limetanda Hoima Magharibi mwa Uganda 🇺🇬 baada ya boti iliyokuwa imebeba wachezaji 50 na mashabiki wao kuzama kwenye ziwa Albert.
Walioshuhudia wanasema boti hilo lilikumbwa na mawimbi na upepo mkali kabla ya kupinduka.#LakeAlbert #Uganda #Hoima
4

💔💔Biwi la simanzi limetanda Hoima Magharibi mwa Uganda 🇺🇬 baada ya boti iliyokuwa imebeba wachezaji 50 na mashabiki wao kuzama kwenye ziwa Albert. Walioshuhudia wanasema boti hilo lilikumbwa na mawimbi na upepo mkali kabla ya kupinduka.#LakeAlbert #Uganda #Hoima

8
16
102

Forever and for always -Shania Twain 😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

0
2
17
BREAKING NEWS: Mbunge wa Shinyanga mjini na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Masele, ‘ametinga’ Bungeni Jijini Dodoma hii leo, kutii wito wa Spika Job Ndugai aliyemtaka kufika siku ya Jumatatu kujibu tuhuma zinazomkabili.
#BungeLive

BREAKING NEWS: Mbunge wa Shinyanga mjini na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Masele, ‘ametinga’ Bungeni Jijini Dodoma hii leo, kutii wito wa Spika Job Ndugai aliyemtaka kufika siku ya Jumatatu kujibu tuhuma zinazomkabili. #BungeLive

3
20
187
Shukrani kwa @Samagoal77_ ametupa jina watanzania kwenye ligi ya Belgium. Jamani hiyo "NDOO" nimebeba kwa niaba ya mashabiki wote. #SamattaDay 📷@imaninsamila

Shukrani kwa @Samagoal77_ ametupa jina watanzania kwenye ligi ya Belgium. Jamani hiyo "NDOO" nimebeba kwa niaba ya mashabiki wote. #SamattaDay 📷@imaninsamila

26
33
588

"Mimi nilikuwa Personal Assistant wa Mzee Msekwa, baadaye yeye akawa msaidizi wangu, maisha ni mzunguko, usimnyanyase aliye chini yako maana hujui kesho atakuwa nani..utaona aibu" Dr. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu. July 23, 2016.

8
47
385
Gwajiboy iko namba 2 kwenye trending Tz YouTube 😃🔥! Asanteni sana https://youtu.be/m7O4epDccgM  #KuchekaNiDawa

Gwajiboy iko namba 2 kwenye trending Tz YouTube 😃🔥! Asanteni sana https://youtu.be/m7O4epDccgM  #KuchekaNiDawa

11
9
187
Mashabiki wa KRC Genk iliyonyakua ubingwa wa Ubelgiji wakishangilia kwa kutaja jina la nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta huku wakiwa wameshika bendera ya Tanzania na jezi za taifa stars. #MtanzaniaDigital

15
103
CNN
5 days ago
Rapper Drake announced that he is now the proud owner of a private jet — but this isn't your typical personal plane. The jet's average retail price is a whopping $220 million, and the customized Boeing 767-300F has "AIR DRAKE" emblazoned on its engines. https://cnn.it/2HGaBfi 

211
237
945
Next Page