MAKINI

MAKINI

@davidserafni

Followers927
Following5K

daudayaserafini@gmail.com

Dar es Salaam, Tanzania
Joined on February 16, 2017

Statistics

We looked inside some of the tweets by @davidserafni and here's what we found interesting.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
3 hours
Average replies
0
Average retweets
0
Average likes
0
Tweets with photos
10 / 100
Tweets with videos
0 / 100
Tweets with links
0 / 100

Last Seen Profiles

@TomTaylorMade@TomTaylorMade
@__person2@__person2
@Abnafhah@Abnafhah
@non14212@non14212
@tenimyuikemen@tenimyuikemen
@leonardobandari@leonardobandari
@OFOBALLEN@OFOBALLEN
@mistressgaia2@mistressgaia2
@jokopujakesuma@jokopujakesuma
@KRashid13@KRashid13
@rinagari@rinagari
@ridwansaif26@ridwansaif26
@MILB@MILB
@FahadK20_@FahadK20_
@RoHerlein@RoHerlein
@zeyneps43@zeyneps43

Mshambuliaji wa PSG Angel di Maria anasema kuwa uhusiano wake na mkufunzi wa zamani wa Manchester United manager Louis van Gaal ulidorora baada ya kuhoji mbinu yake ya kuwa na usimamizi mkali katika uwanja wa Old Trafford.#makinispoti

Manchester United bado wana matumaini ya kuafikia mkataba kuhusu kandarasi mpya ya kipa wa Uhispania David de Gea, lakini kuna wasiwasi kwamba ada ya ajenti inapandisha bei yake. #makinispoti

Chelsea imewalenga wakufunzi wa klabu ya Derby Frank Lampard na aliyekuwa kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane kuwa warithi wa Sarri. #makinispoti

Mkufunzi wa Chelsea Maurizio Sarri atafutwa kazi iwapo klabu hiyo itashindwa katika fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Manchester City siku ya Jumapili. #makinispoti

Leo nataka niwatembelee marafiki zangu wote wa #Twitter @officielsalome nitumie no nianze na wewe

Call 0679018901

Call 0679018901

0
0
0
HT 
Africalyon 0~2 Simba sc

HT Africalyon 0~2 Simba sc

0
0
1

Juventus wameiuliza Inter Milan kuhusu hatma ya Mauro Icardi lakini hawajaanza mazungumzo na mshambuliaji huyo wa Argentina ,25 ama ajenti wake.#makinispoti

Liverpool huenda ikawasilisha ombi jingine la kinda wa Borussia Dortmund na Uingereza Jadon Sancho baada ya kumkosa alipokuwa katika klabu ya Manchester City. #makinispoti

Manchester United iko tayari kuilipa Tottenham fidia ya £34m ili kumsajili mkufunzi wake Mauricio Pochettino kama mkufunzi wao wa kudumu mwisho wa msimu huu.#makinispoti

Mkufunzi wa zamani wa Manchester United, Chelsea na Real Madrid Jose Mourinho huenda akaifunza klabu ya daraja la kwanza nchini Ufaransa. #makinispoti

Pia kiungo wa kati wa klabu ya Arsenal na Ujerumani Mezut Ozil, 30, ameondoka mjini London na kuhamia Uturuki kwa siku chache baada ya kuwachwa nje katika kikosi cha Arsenal cha kombe la Yuropa katikati ya wiki hii. #MakiniSpoti

Mshambulaiji wa Brazil Neymar, 27, hajaamua kuondoka katika klabu ya Paris St-Germain kulingana na babake ambaye aliongezea kuwa soka inaweza kubadilika wakati wowote.. #MakiniSpoti

Mshambulaiji wa Brazil Neymar, 27, hajaamua kuondoka katika klabu ya Paris St-Germain kulingana na babake ambaye aliongezea kuwa soka inaweza kubadilika wakati wowote..#MakiniSpoti

Beki wa Chelsea na Denmark Andreas Christensen, 22, amekana kwamba anataka kuondoka katika klabu ya Stamford bridge , baada ya kuona muda wake wa kushiriki katika mechi umepunguzwa chini ya Maurizo Sarri . #MakiniSpoti

West Ham inajiandaa kuwasilisha ombi la kumnunua winga wa Ecuador na Manchester United Antonio Valencia, 33, iwapo beki wa kulia wa Argentina Pablo Zabaleta, 34, ataamua kustaafu mwisho wa msimu huu.#MakiniSpoti

Mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 23, na mshambuliaji wa Uingereza Jesse Lingard, 26, huenda wakarudi katika ,mechi dhidi ya Liverpool Jumapili ijayo , licha ya kudaiwa kwamba huenda wakakosa kati ya wiki mbili au tatu na mkufunzi wao Ole Gunnar Solskjaer. #MakiniSpoti

Aliyekuwa mkufunzi wa zamani wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane atakubali kuifunza Chelsea na kuchukua mahala pake Maurizio Sarri iwapo atapewa £200m kutumia huku klabu hiyo ikimpatia mshambuliaji wake Eden Hazard kandarasi mpya. #makinispoti

Mimi ni simba sc wewe je ?

Kiungo wa kati wa Paris St-Germain Adrien Rabiot, 23, anaamini atajiunga na Barcelona mwisho wa msimu huu. #MakiniSpoti

Next Page