Godwin Mbogo🇹🇿🇮🇱

Social Entrepreneur | Bookworm.

Dar es salaam
Joined on May 15, 2011

Statistics

We looked inside some of the tweets by @godwinmbogo and here's what we found interesting.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
2 hours
Average replies
1963
Average retweets
2058
Average likes
7843
Tweets with photos
25 / 100
Tweets with videos
5 / 100
Tweets with links
5 / 100

Last Seen Profiles

@tiner_6@tiner_6
@premxyz_@premxyz_
@NPsOregon@NPsOregon
@Ayeeme87@Ayeeme87
@ayaitsu_rmp@ayaitsu_rmp
@Farhad240398@Farhad240398
@TBTD0wC1T2viFxC@TBTD0wC1T2viFxC
@LiaoApei@LiaoApei
@bucang6474@bucang6474
@mamimcg@mamimcg
@UD_CampusRec@UD_CampusRec
@officialnwoga@officialnwoga
@sfazura@sfazura
@riitapi@riitapi
@mabinogion7@mabinogion7
@veRiz_kha@veRiz_kha

Recommended

Check out our new cool site: https://www.twitur.com/account/godwinmbogo

Please which business can I start with 10,000 naira?

242
148
523

“It is easier to build strong children than to repair broken men.” -Frederick Douglass

Je, Wajua?

 Wimbo wa Taifa wa  Tanzania asili yake ni wimbo wa "Nkosi Sikelel' iAfrika" yaani 'Mungu Ibariki Afrika' wa Afrika Kusini. Enoch Sontonga ndiye mtunzi wa "Nkosi Sikelel' iAfrika" mnamo mwaka 1897.

Sehemu wa wimbo huu unatumika pia katika wimbo wa Taifa  wa Zambia🇿🇲
2

Je, Wajua? Wimbo wa Taifa wa Tanzania asili yake ni wimbo wa "Nkosi Sikelel' iAfrika" yaani 'Mungu Ibariki Afrika' wa Afrika Kusini. Enoch Sontonga ndiye mtunzi wa "Nkosi Sikelel' iAfrika" mnamo mwaka 1897. Sehemu wa wimbo huu unatumika pia katika wimbo wa Taifa wa Zambia🇿🇲

1
23
48
Dar VS Tukuyu Mbeya.

Dar VS Tukuyu Mbeya.

2
4
11

Ukiangalia HARDtalk ya Lissu unagundua umuhimu wa waendesha vipindi kuwa na timu ya kufanya research kabla ya kumhoji mtu. Utasema mtangazaji anafuatilia siasa za Tanzania au kawahi kuishi bongo.

30
66
320

Operesheni ya siri kuwaokoa wanawake wa Korea kaskazini watumwa wa ngono China

🔴LIVE 

Wanahabari wakiwa katika viwanja vya Bunge wakisubiria kwa hamu ujio wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambaye anatarajiwa kuitikia wito wa Spika kufika katika Kamati ya Bunge kwa ajili ya kuhojiwa juu ya kauli yake inayodaiwa kulidhalilisha bunge.
3

🔴LIVE Wanahabari wakiwa katika viwanja vya Bunge wakisubiria kwa hamu ujio wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambaye anatarajiwa kuitikia wito wa Spika kufika katika Kamati ya Bunge kwa ajili ya kuhojiwa juu ya kauli yake inayodaiwa kulidhalilisha bunge.

1
12
48
Kufukuza mbu
Tumia limao na karafuu. Njia asilia kuzuia mbu usiku wakati unasoma/umelala/unaangaliaTV nk:
1 Kata limao
2 Chomeka karafuu kwenye limao
3 Weka karibu ulipokaa

Mbu kwisha habari yao. Hawakusumbui tena

#ElimikaWikiendi
4

Kufukuza mbu Tumia limao na karafuu. Njia asilia kuzuia mbu usiku wakati unasoma/umelala/unaangaliaTV nk: 1 Kata limao 2 Chomeka karafuu kwenye limao 3 Weka karibu ulipokaa Mbu kwisha habari yao. Hawakusumbui tena #ElimikaWikiendi

16
131
258

Kiswahili na rafudhi zake zina http://connotation.mf  wazenji tanga wanaongea hata kama ni serious it sounds romantic. Ukiskia wasukuma ni kama anapanda mlima na ulimi. Wachaga wana rewind maneno🙈 "wakae wakaenda "

The only known surviving autobiography of a Muslim slave in America is now online after the US Library of Congress acquired and published the essay

9
141
302

Replying to @KiiyaJK @KennedyMmari @EdgarNicas

Google haiwezi kuwa na direct access, sijajaribu kuitafuta ila the best website to look for will be http://uspto.gov ...the patent office website.. Kuhusu hicho kifaa, je patent ni ya design au invention?! Swali kuu iwe hilo

Baada ya kumaliza utani wetu wa jadi, ambao ni jadi yetu, tuwape wana simba pole na tuwatie moyo kwani wamebeba jukumu kubwa la kutuwakilisha kama Taifa. Simba wakishindwa, sote tumeshindwa. Twende wote, twende pamoja kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

44
57
602
Kabla ya mechi! YES WE CAN!
Wakishinda, THIS IS SIMBA!
Wakifungwa, NGUVU MOJA! 
Mtani ana slogans nyingi sana @Arafat__AH

Kabla ya mechi! YES WE CAN! Wakishinda, THIS IS SIMBA! Wakifungwa, NGUVU MOJA! Mtani ana slogans nyingi sana @Arafat__AH

1
7
42

Matayo:16.19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Winners are not afraid of losing. But losers are. Failure is part of the process of success. People who avoid failure also avoid success..

3
743
2K

“Can’t wait for the day when somebody tells me I’m the best thing that’s ever happened to them and they mean it”

32
6K
10K

Mexico is doing NOTHING to stop the Caravan which is now fully formed and heading to the United States. We stopped the last two - many are still in Mexico but can’t get through our Wall, but it takes a lot of Border Agents if there is no Wall. Not easy!

39K
33K
137K
Madereva wa mabasi yanayokwenda Nyanda ya Juu Kusini (Mbeya, Iringa) kutoka Dar es salaam leo wamefuatana bila kuachana mpaka Mikumi, kisha kuegesha magari ili wapate ufumbuzi kutokana na kuchoshwa kutozwa faini eneo la Iyovi/Mikumi ambalo wanadai haina alama yoyote barabarani.
2

Madereva wa mabasi yanayokwenda Nyanda ya Juu Kusini (Mbeya, Iringa) kutoka Dar es salaam leo wamefuatana bila kuachana mpaka Mikumi, kisha kuegesha magari ili wapate ufumbuzi kutokana na kuchoshwa kutozwa faini eneo la Iyovi/Mikumi ambalo wanadai haina alama yoyote barabarani.

66
130
815

Do something nice for someone else everyday and don’t tell anyone about it.

74
1K
4K

If world-class players start to prefer PSG over Barcelona (for whatever reason), there is definetely something going wrong at our club.

36
50
437
Next Page